USIFUNGWE NIRA NA ASIYE AMINI
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
2 Kor 6
Hii verse imekua ikitumika sana, mara zingine wakati unataka kuoa au kuolewa na mtu asiye amini of which its very true kwa maana ya kwamba ndicho mtume Paulo alikua akiwaonya watu wa Korinto. Na hii kwa kiasi kikubwa ilitokana na kile kilisemwa kwenye Kumb 22:9 kuhusu kuwafunga nira wanyama wawili wasiofanana. Wakati mwingine hii imewavuruga watu hata kwenye maeneo ya kazi hawataki kufanya kazi ofisi moja na wasio amini, mara zingine hata kushirikiana kwenye mambo ya kujenga uchumi.
Ila mimi leo nataka kutanua understanding kwa kwenda mbali sana na kusema kufungaman nia na wasiomani applies to any environment where we let the world influence our thinking.
When we are being conformed to this world and are not being transformed by the renewing of your mind, we join together with unbelievers in an ungodly way. This speaks especially to the issue of influence. Sawa unakaa na walokole na umeolewa au kuoa mlokole kabisa lakini sasa mbona mambo ya dunia hii yana-influence maisha yako? Najua unayafahamu mambo ya dunia hii ambayo kimsingi yanakupelekesha.
Swala ni kwamba tuko ulimwenguni ila sisi sio wa ulimwengu ukilielewa ili the world will never influence your thinking, like a ship should be in the water, but water shouldn’t be in the ship. Kimtaani wanasema "kaa na masala ila wasi-influence maisha yako"...wewe ndiye wa kuchange their thinking.
Kama mambo ya dunia yanatu-influence ni wazi kwamba tumefungwa nira na wasio amini. And this unequal yoke, or ungodly influence, may come through a book, a movie, a television show, a magazine, or even through worldly Christian friends.