UFALME WA MBINGUNI UTATEKWA NA WENYE NGUVU
Mathayo 11:12
Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
Kama tunataka kusoma neno na kuilishi tujue si kazi rahisi. Shetani hataruhusu tutoboe kirahisi, tunahitaji kuyateka maarifa ya ndani ya neno kwa nguvu. Katika kufanya kazi yeyote ya Mungu tujue kwamba lazima kuna vikwazo vitainuka. Changamoto lazima ziwepo, Hivyo tusiache changamoto zizime moto wa kumtumikia Mungu. Fight fight fight, hakuna kizuri kinachokuja kirahisi.
Kama you are making time to meet friends as well find time kumtafuta Mungu. Na usisome tu ili umalize Biblia, mwambie Roho Mtakatifu usibaki ulivyo baada ya kusoma.

Tangu enzi za Yohana watu walimtafuta Mungu na ufalme wake ( I.e Baraka zake Mungu) kwa nguvu. Kina Petro walifungwa, lakini kazi ya Mungu waliiendeleza. Stefano hata akauawa kwa mawe ili mradi kazi ya Mungu iendelee.
Wewe na mimi sijui tumeweka efforts kiasi gani katika kumtafuta huyu Mungu na kuuteka ufalme wake? Kama toka zamani hiyo walitumia nguvu. Hivyo leo tusigemee kwamba kusoma neno,kuomba na kujitoa kwa ajili huduma za Bwana itakuwa rahisi.
There is always a price to pay but the good news is that; the pay is 100 times your efforts. Refer ule mstari unasema tutapata mara mia hapa duniani and mwisho uzima wa milele.

Maombi
Lets go for hizi nguvu za Mungu; Zaburi inasema tumtake Mungu na nguvu zake b'se mwandishi anajua tunazihitaji.
Omba huo uwezo wa kuresist magumu na vikwazo vinavyoibuka katika kuyatenda mapenzi ya Mungu.
Nguvu ya kuendelea kung'ang'ana na cha Mungu hata kama mazingira hayaruhusu au watu wakitukera na kuweka vikwazo.