KANUNI MOJA YA HUDUMA NI KULA KITABU
Biblia. Ufunuo wa Yohana 10:10-11
[10]Nikakitwaa kile kitabu kidogo katika mkono wa malaika yule, nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali kinywani mwangu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.
[11]Wakaniambia, Imekupasa kutoa unabii tena juu ya watu na taifa na lugha na wafalme wengi.
Huwezi kutoa Usichokuwa Nacho.
Yohana alipewa kwanza Kula kile Kitabu,,baada ya kukipokea ndipo sasa anaambiwa -Utatoa Unabii kwa Mataifa na wafalme.
Huwezi kusema niifundisha kweli halafu -Hulii kweli.
Unatanguliakwanza Kukaa miguuni pa Yesu kula kutoka kwake ndipo -Sasa Ukasimame mbele za watu.
Sasa kula kwako mbele za Yesu kunategemea -umekusudia Kuachilia chakula kiasi gani.
Kama Unataka Kuachilia chakula kikubwa -baasi hata Muda wa Kukaa na kulaa Utakuwa Mkubwa sana. Kinyume na hapo utawapa watu -vya kwako na sio vya Yesu.
Yesu alisema Roho Mtakatifu atakapokuja atatwaa yakwake na kutupa sisi -Maana Roho Mtakatifu anachukua yaliyo ya Yesu ambayo ni ya Baba anatujaza -na sisi tukitoka tunawapa watu yaliyo ya Yesu ambayo Tumeyapokea kutoka kwa Roho Mtakatifu.
Na hapo kila tunachotoa kitakuwa cha Yesu.,
Ila kama hatujapokea kwake -uwe na Uhakika utawapa watu nafsi yako badala ya kuwapa vya Nafsi ya Yesu.
The Holy Spirit will never give you of yourself-he will give you of Jesus and send you to give people of Jesus Christ in that way -Jesus who is the Word will be Glorified
Na:- Nicholaus
GBS DSM